Breaking news: watu 10 wamefariki katika ajali mkoani shinyanga

Watu kumi wamefarikina wengine hamsini wamejeruhiwa kufuatia ajali ilitokea katika kijiji samuye mkoani shinyanga,basi la kampuni ya
uniq express lenye na mba za usajili T 148BKK  limegongana na gari la Kampuni ya cocacola na kupelekea watu 10 kupoteza maisha yao na wengine hamsini kujeruhiwa majeruhi wameshakimbizwa katika hospital ya mkoa shinyanga

No comments:

Post a Comment