ALICE WA THT NA HEKAHEKA LAKE JUKWAANI

Msanii alice kutoka THT asimulia hekaheka aliyokutana nayo katika show moja iliyowahi fanyika hapo mtaa flani hivi alice alikuwa jukwaani mara
akasanuka kuwa kiatu chake skuna hiyo ilikuwa inashida kwenye kisigino hakuwa na jinsi aliamua kusimama sehemu moja mwa jukwaa na kuendelea na show kwa bahati mbaya alikuja msanii mwenzake akamvuta ndipo alice alipoanguka mashabiki wakabaki wanashangaaa

No comments:

Post a Comment