FILAMU MPYA: Kajala anatarajia kutoa PISHU mei mosi

Staa wa bongo muvi kajala masanja KAY anatarajia kutuletea filamu mpya yenye jina PISHU mei mosi mwaka huu
movie yangu mpya PISHU inaingia rasmi sokoni/mtaani mei mosi mwaka huu 1/5/2015 ndani kuna
hemedy PHD ,senga,tausi mdegela,asha boko na mzee unyango itasambazwa na KAJALA ENTERTAIMENT NA BABY BLACK FILM PRODUCTION
Filamu hii inamafunzo na kuchekesha itakuwa tofauti na falamu nyingine kwani imetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu  Alisema Kajala
hii si yakukosa mtu wangu hakikisha unapata nakala halisi ili kuwaunga mkono wasanii wetu

No comments:

Post a Comment