Staa wa bongo movie na mrembo aunt ezekiel ndoto zake za kwenda kujifungulia marekani zimegonga mwamba baada ya daktari wake kumzuia kwenda kujifungulia marekani kwa kuwa miezi imepita mno.
aunt ezekiel alijipanga kwenda
kujifungulia marekani lakini dokta wake alimzuia kutokana na muda kuputa kwani kitaalam wamama wajawazito waliofikia zaidi ya miezi saba hawaruhusiwi kusafiri kwa ndege kutokana presha ya mama inaweza kushuka kutokana na hewa kubadilika pindi ndege inapokuwa hewani
pia mshirika ya ndege yamejiwekea utaratibu wa kuwazuia wamama wa aina hiyo hadi itakapo kuwapo ruhusa ya daktari.
No comments:
Post a Comment