MUME AMKATA KATA VISU MKEWE MPAKA KUFA BAADA YA KULALA NA MCHEPUKO USIKU MZIMA

Imetokea mkoani Tanga juzi baada ya mke kwenda kulala na mchepuko wake hadi  asubuhi kisha baada ya kurejea nyumbani mume alipojaribu kumuuliza mke alimjibu mumewe pumba ndipo mume hasira zake zilipo mpanda na kupelekea kumkata mkewe na kisu mpaka kufa


wadau eeeh michepuko sio dili mpango mzima njia kuu bhana

No comments:

Post a Comment