Staa mkongwe katika filamu za bongo ,Mayasa mrisho amefunguka kuwa yeye sio mgumba wala hana gundu ila muda bado wa kuzaa au kuolewa,
mayasa alisema hayo kutokana na
watu wanaomuandama kuwa hazai pia anagundu ndio maana haolewi ambapo alisema sio kweli ila muda ukifika nitazaa na nina kizazi
na sijawahi kutafuta mtoto nikakosa
Bado sijapata mwanaume wa kunioa na sina gundu,kuzaa bado wakati haujafika ila ukifika nina hakina mungu atanipa maana nina mayai yakutosha alisema maya
No comments:
Post a Comment