Hivi ndio vitu adimu vya kufanya mumeo asiwe na hamu ya kutafuta mchepuko huu ni zaidi ya uchawi fanya haya yafuatayo
1) kwanza oga mwanamke hata kama huna jasho na jitoe govyogovyo na ujoe kabisha huko ikulu
2) jisafishe vizuuuuuri tumia kidole cha kati hakikisha hakuna hata utelezi
3) piga mswaki ili kusiwe na harufu kinywani kisha safisha mapua yako vema
4) kisha jipake mafuta mazuri zaidi maeneo ya kwapani shingoni na kitovuni
5) tandika na kitanda chako swaaaafi kisha mkaribishe mumeo
kama atatoka nje ya ndoa yako huyu jamaa atakuwa ni kidudu mtu
No comments:
Post a Comment