Staa mkongwe wa bongo muvi salome urassa "Thea" amefunguka kimtaani kwetu kuwa wasanii hivi karibuni wamevurugika hawana umoja kama zamani
Akiongea mtaani kwetu alisema wasanii zamani walikuwa wanatamani kuwa
kundi moja wakakaa lakini siku za hivi karibuni wamesambaratishwa na kitu ambacho hakieleweki
naamini kuna vitu tulikosea inabidi tumrudie muumba wetu na kujikagua wenyewe maana kwa sasa hakuna cha bongo muvi wa nini naona kama vinaelekea kufa
alisema Thea
alisema Thea
No comments:
Post a Comment