Staa wa bongo muvi wema
sepetu alipozungumza huku mtaani kwetu asema ingekuwa amri yangu jakaya ningependajakaya abaki madarakani kwani amefanya vitu vikubwa kwakipindi cha miaka kumi
mimi ni shabiki mkubwa wa ccm japo kunavitu vinanikera na inabidi virekebishwe ili kujiimarisha.
No comments:
Post a Comment