Staa wa bongo muvi awatolea uvivu miungu watu ambao wameibuka mtandaoni wakimtoa kasoro miguu ya staa huyo mara baada ya
wema kuweka picha kadhaa akiwa amevaa sketi ambayo inaonyesha miguu yake
"naomba niwaulize nyie miungu watu....mlitaka nijiongeze nyama kwenye miguu yangu ndio ilivyo na kuacha kuvaa nguo za kuionyesha siwezi ...nitavaa tu..na kuacha siwezi.
Iwe mibaya iwe na makovu iwe na michirizi ni ya wema sepetu.
na kwa kuwa ni yangu nita iembrance......tuko pamoja eeh..muniache na vifimbo vyangu.....
maana mungu ndio alivyonibarikia navyo
Iwe mibaya iwe na makovu iwe na michirizi ni ya wema sepetu.
na kwa kuwa ni yangu nita iembrance......tuko pamoja eeh..muniache na vifimbo vyangu.....
maana mungu ndio alivyonibarikia navyo
aliandika wema katika ukurasa wake wa mtandao
No comments:
Post a Comment