VANESSA MDEE: ni kweli jux ni boyfriend wangu

jux kwa upande wake alishakiri kuwa vanessa ni girlfriend wake lakini vee money hajawahi kusema kwa mdomo wake hadi hapo jana j,pili
vee money alikuwa mgeni katika kipindi cha playlist  cha TIMES FM ambapo mmoja wa
wasikilizaji alitaka kujua ukweli wa uhusiano wao
yes faisal ni kweli jux is my boyfriend
vee money alimjibu msikilizaji huyo

No comments:

Post a Comment