AUNT AMWAGA MACHOZI KWA KULAANIWA KIFO CHEKI HAPA>>>

Aunt ezekiel ajikuta akidondosha  baada ya shabiki mmoja kujitokeeza kwenye mtandao wa kijamii na 
kumlaani kifo
haya yalijili juzi kati baada ya kuweka
aunt ezekiel kuweka picha iliyomuonyesha akiwa na wema sepetu instagram  akiwa ameshika tumbo lake ndipo  mfuasi wa mtandao huo anayetumia jina la saidi ulimwengu  na kucoment kuwa mtoto atakaezaliwa atakuwa amelaaniwa na hata akijifungua afe
na kiumbe chake
ujumbe huo ulisomeka hivi
yaani utakapojifungua naomba ufe na mimba yako maana utakachikizaa kimeshalaaniwa

No comments:

Post a Comment