Staa wa bongo movie wastara juma amewasihi mastaa kuhusu suala la utoaji mimba
kila siku najaribu kuwasihi mastaa kutoa mimba kutokana na
maisha kuwa mafupi nawahusia mastaa waache kutoa mimba na wazae haraka kwa umri unakwenda utafikia wakati unahitaji kuzaa na huwezi tena na kubaki unajilaumu
wastara juma ni mama wa watoto kadhaa
No comments:
Post a Comment