Staa mrembo wa bongo muvi NURU NASORO "NORA"
aibuka kutoka mafichoni na kusema kuwa hajafuria
akiongea huku mtaani kwetu asema maisha yake anayaendesha vizuri na
kisanii anaandaa mambo mazuri
si unajua kimya kingi kina mshindo mkubwa alisema NORA
No comments:
Post a Comment