NANI KASEMA MAMA HANA MVUTO - KAJALA

Staa wa bongo muvi anayesifika kwa  figa matata ya kiafrika masanja
kay ametupia picha katika ukurasa wake wa hiyo hapo juu na kuacha swali ambalo
majibu yake yapo waziwazi
kajala ambae ni mama wa photo mmoja ameuliza "who said moms can't be SEXY??
Bila shaka wewe mwenyewe umejionea mwenyewe

No comments:

Post a Comment