Pages

ELIZABETH MICHAEL LULU APATA PIGO JINGINE

Habari zilizofika hapa mtaani hivi punde zinasema mwanadada
LULU amepata pigo jingine kwa
kufiwa na mpenzi wake katika sherehe yake ya kuzaliwa mwanadada huyo anayetimiza miaka ishirini amefiwa na mpenzi wake aliyejulikana kwa jina seki aliyekuwa akiishi mwanza chanzo cha kifo chake bado hakijatufikia kaa nasi tutakukuza

No comments:

Post a Comment