Msanii mkongwe wa ucheshi
amesema kwanza anaangalia ujumbe wa wimbo wenyewe kisha je nahitajika kuonekanaje
kingwendu amefunguka juu ya malipo anayowatoza wasanii wa muziki ikiwa anahitajika katika amesema kwanza anaangalia ujumbe wa wimbo wenyewe kisha je nahitajika kuonekanaje
video yake akiongea na 255 xxl ya clous fm
msanii huyu aliyeonekana katika nyimbo kadhaa kama ile ya yamotoband amesema kuwa analipwa laki tano kwa underground tena hapo amelialia ndio namfanyia kwa pesa hiyo ila kwa mkongwe mwenzangu huwa na mganyia kwa pesa ya chini kidogo maana naweza kumuhitaji siku moja naye akanifanyia rahisi alisema kingwendu.
No comments:
Post a Comment