Pages

HATIMAYE SHAMSA FORD ATOBOA KUWA NAY NDIO ENDLESSLOVE WAKE

Staa wa bongo muvi shamsa ford ya kimahaba yanayosomeka
" I MISS U MY ENDLESSLOVE" ikiashiria kuwa hawa wadau wapo katika mahaba moto moto
ambaye hivi majuzi kati alikataa katakata kuwa na mahusiano nastaa wa muziki hapa nchini na kusema kuwa ni binamu yake ila hivi jana alitoboa siri katika ukurasa wake wa internet kwa kuandika maneno.       Juzi  kati  wawili hao walitupia picha wakidendeka waandishi walipojaribu kufuatilia ubuyu huo shamsa alikana na kusema kuwa wapo kwenye project ambayo itatujia hivi karibuni

No comments:

Post a Comment