Pages

hii ni ajali ya 9 kumtokea wastara anaelezea

Staa wa bongo muvi wastara juma amepata ajali jumapili maeneo ya tabata magengeni akitokea mwananyamala akiwa anaongea na wasanii wenzake

anasema gari yake aina ya toyota canal alikuwa
anaendesha meneja wake bond bin sinan tulipofika maeneo ya tabata magengeni ghafla bond alifunga break nikaona gari inazunguuka nami nikawa najigonga kutokana nilikuwa sijafunga mkanda

mimi nilikuwa sielewi kitu nilikuwa naona gari inazunguuka ndipo niliposhuka ilikujaribukuokoa maisha yangu ndipo bond alishuka na kuanza kunikimbiza walinzi wa bar ya jirani walinikamata kabla mpaka bond alipofika na kunirudisha kwenye gari nimepata jeraha kidogo usoni na ninamaumivu makali kichwani kutokana na kujigonga

wastara ameumia kidogo usoni pia anamaumivu kichwani ila kwa sas anaendelea vema

No comments:

Post a Comment