AMANDA AWA MBOGO BAADA YA KUAMBIWA ANATUMIA ARV

Staa mwenye figa matata TAMRINA POSH
AMANDA hivi karibuni aligeuka na kuwa mbogo baada ya shabiki wake aliyejulikana kwa jina la joel kucoment kuwa amanda anatumia ARV vidonge vya kuongeza siku za kuishi kwa waathirika wa UKIMWI
ishu ilianza fesibuku baada ya kijana huyo kuona picha ya amanda akipima ugonjwa usio julikana ndipo alipocoment kuwa amanda eti ana ngoma
amanda alisema
nimeamua kumtolea uvivu asione kuwa bongo muvi wote ni wahuni au tunatumia ARV najiamini mara ya mwisho kupima ni juzi tu hapa na nipo salama kwahiyo wasidhani bongo muvi wote ni wahuni

No comments:

Post a Comment